JIANDAE KUIPOKEA FILAMU MPYA YA ``MKOBA`` KUTOKA KWA DIRECTOR TOM JOHNS

Baada ya kufanya filamu nyingi sana,ikiwepo Ngalangala,Kitanzi.Sasa Director wa filamu kutoka Africa ya mashariki ndani ya jiji la mbeya,Tom Johns.Jumapili hii anakuletea filamu nyingine kali inayokwenda kwa jina la MKOBA.Kwa kuzipata filamu zote alizofanya director Tom Johns,tembelea youtube channel yake na andika Tom john Tz.

Hakuna maoni

GESHACK MEDIA & ENTERTAINMENT.0754 981 696. Inaendeshwa na Blogger.